- Biashara, Habari, Kitaifa
- September 18, 2021
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imewataka wachimbaji kutumia Maonesho ya Nne ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini kujifunza teknolojia mbalimbali zilizopo kwenye maonesho yaliyoanza leo Mkoani Geita. Wito huo umetolewa leo Septemba 16, 2021 na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Seif
READ MORESerikali imesema kuwa kumekuwa na mitazamo tofauti miongoni mwa wadau kuhusu sababu ya kuwepo kwa changamoto na matatizo sugu ya ushirika na namna ya kushughulikia na kutatua changamoto hizo. Wadau wengi wa Ushirika nchini wamekuwa na mtazamo wa kwamba changamoto na matatizo sugu ya Ushirika nchini yanatokana na sababu mbalimbali na miongoni mwa sababu hizo
READ MORE- Biashara
- September 16, 2021
Na Mwandishi Wetu. Septemba 15, 2021 Kampuni inayoongoza katika kuhakikisha Mtanzania anaishi maisha ya Kidigitali,Tigo Tanzania Kwa kushirikiana na Absa Bank Tanzania Limited na JUMO wamezindua huduma ya mkopo wa muda mfupi ijulikanayo kama ” TIGO NIVUSHE”. Akizungumza katika uzinduzi huo Afisa Mkuu wa Tigo Pesa Bi. Angelica Pesha amesema kuwa Kuanzishwa tena kwa huduma
READ MORE