TIGO PESA WAZINDUA PROMOSHENI YA "LIPA KWA SIMU , UWin KUHAMASISHA MALIPO KIDIGITALI
- Biashara
- November 23, 2021
Kampuni ya simu TECNO kupitia ukurasa @tecnomobiletanzania inawakambusha wateja wa simu za TECNO kuhusiana na promosheni ya VIMBA. TECNO inawataka wateja wote wa TECNO kununua TECNO Camon 17 na Spark 7 katika msimu huu wa kampeni ya VIMBA. Kampeni hii ya VIMBA itadumu hadi tarehe 13/8/2021 na kwa kipindi hiki chote wateja wa simu za
READ MORENa Mwandishi Wetu. Kampuni namba moja ya Huduma za Kidigitali hapa Nchini Tigo imekabidhi zawadi ya Milioni Tano kwa Mshindi wa jumla wa SOKA NA TIGO msimu wa 13 Bwn. Hassan Mohamed Timbulo (52) mkazi wa Kilombelo, Morogoro. Akizungumza baada ya kukabidhi zawadi hiyo Meneja Mauzo wa Tigo Ifakara Bwana Haji Khatibu amesema kuwa katika
READ MOREMfumuko wa bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia Mwezi Juni ,2021 umeongezeka hadi asilimia 3.6% kutoka asilimia 3.3% kwa mwaka ulioishia mwezi Mei,2021. Akizungumza na waandishi wa Habari leo Julai 8,2021 jijini Dodoma Kaimu mkurugenzi wa sensa ya watu na takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu[NBS] Bi.Ruth Minja amesema kuongezeka kwa mfumuko
READ MORE