• WAZIRI MKENDA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI WA BALOZI WA ISRAEL.

    WAZIRI MKENDA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI WA BALOZI WA ISRAEL.0

    Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Ubalozi wa Israel nchini Bw Eyatan Hatzor na wawakilishi wa Taasisi ya CultiviAid Dkt Tomer Malchi pamoja na Bw. David Zukerman wa nchini Israel. Katika mazungumzo hayo yaliyotanguliwa na mazungumzo na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Prof. Siza Tumbo

    READ MORE
  • TIGO  NA TECNO NDANI YA SABASABA WAZIDI KUMWAGA OFA

    TIGO NA TECNO NDANI YA SABASABA WAZIDI KUMWAGA OFA0

    Kampuni Namba moja ya Huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo wamezidi kutangaza ofa kabambe Ndani ya Viwanja vya maonyesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) . Akizungumza na waandishi wa Habari Mtaalam wa Vifaa vya Mawasiliano kutoka Tigo Bwana Brass Abdon amewasihi watanzania kufika katika banda la Tigo lililopo katika viwanja vya sabasaba, Maduka

    READ MORE
  • MAJALIWA: HALMASHAURI ZA DODOMA ANZISHENI VITALU VYA MICHE YA ZABIBU.

    MAJALIWA: HALMASHAURI ZA DODOMA ANZISHENI VITALU VYA MICHE YA ZABIBU.0

    06, Julai, 2021 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. MAJALIWA: HALMASHAURI ZA DODOMA ANZISHENI VITALU VYA MICHE YA ZABIBU WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza halmashauri zote za mkoa wa Dodoma zianzishe vitalu vya kuzalisha miche ya zabibu ili kuwawezesha wakulima kupata mbegu kwa uhakika. Pia, Waziri Mkuu amevitaka vyama vya ushirika wa kilimo cha zao la

    READ MORE
Translate »