TIGO NA TECNO NDANI YA SABASABA WAZIDI KUMWAGA OFA

TIGO  NA TECNO NDANI YA SABASABA WAZIDI KUMWAGA OFA

Kampuni Namba moja ya Huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo wamezidi kutangaza ofa kabambe Ndani ya Viwanja vya maonyesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) . Akizungumza na waandishi wa Habari Mtaalam wa Vifaa vya Mawasiliano kutoka Tigo Bwana Brass Abdon amewasihi watanzania kufika katika banda la Tigo lililopo katika viwanja vya sabasaba, Maduka

Kampuni Namba moja ya Huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo wamezidi kutangaza ofa kabambe Ndani ya Viwanja vya maonyesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) .

Akizungumza na waandishi wa Habari Mtaalam wa Vifaa vya Mawasiliano kutoka Tigo Bwana Brass Abdon amewasihi watanzania kufika katika banda la Tigo lililopo katika viwanja vya sabasaba, Maduka ya Tigo kote nchini pamoja na maduka ya Tecno kujipatia simu kwa punguzo la Hali ya juu
huku akisisitiza kuwa punguzo ilo kufuata tamko la serikali ambayo ilielekeza kwamba katika mwaka mpya wa bajeti simu zote ziuzwe bila Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT).

Kwa upande mwingine mwakilishi kutoka TECNO Bi. Ashurah Mohammed ameelezea kuhusu punguzo ilo la Hali ya juu kwa simu za TECNO

“Tuko pamoja na Tigo kuwaletea simu Zetu bomba CAMON 17, CAMON SPARK 7P, SPARK 16, Na SPARK 7PLAY, simu Zote ni za 4G, Betri ni kubwa Na ukinunua unapata Ofa ya Intaneti ya mwezi mzima bure ” Alisema Bi. Ashurah

Kwa taarifa zaidi kuhusu ofa hizi za sabasaba Tafadhali tembelea kurasa za kijamii za Tigo na Tecno.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »