Waziri Mkuu Majaliwa amekutana na wadau wa zao la zabibu kujadili na kuweka mikakati ya kuliendeleza zao hilo.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 6, 2021 amekutana na wadau wa zao la zabibu kujadili na kuweka mikakati ya pamoja ya kuliendeleza zao hilo ili liweze kuleta tija kwa wakulima, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »