• TIGO KUTAMBULISHA SIMU MPYA YENYE OFA KABAMBE YA GB 96 MWAKA MZIMA

    TIGO KUTAMBULISHA SIMU MPYA YENYE OFA KABAMBE YA GB 96 MWAKA MZIMA0

    Leo Julai 2, 2021 Kampuni namba moja ya Huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo Tanzania imetambulisha rasmi Ubia na Kampuni inayotengeneza, Kusambaza na Kuuza Simu Janja hapa nchini Xiaomi kwa mara ya kwanza kabisa, ambapo siku ya Leo Rasmi Xiaomi inawaletea Watanzania Redmi 9T simu yenye ubora wa Hali ya Juu na Inakuja Na Ofa

    READ MORE
  • Tigo yajitosa sabasaba, simu kama zote kupatikana bandani kwao

    Tigo yajitosa sabasaba, simu kama zote kupatikana bandani kwao0

    Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo, imedhamini rasmi Maonyesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba). Tigo imeweka rekodi ya kudhamini maonyesho hayo kwa mwaka wa sita ambapo wateja wa Tigo wataendelea kupata ofa maalum katika msimu huu wa maonyesho ya Saba Saba. Katika maonyesho hayo ya

    READ MORE
  • Vituo vya biashara vya Kimataifa kufunguliwa mipakani-Prof Kahyarara

    Vituo vya biashara vya Kimataifa kufunguliwa mipakani-Prof Kahyarara0

    Na Mwandishi wetu. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Prof Godius Kahyarara amesema Serikali iko mbioni kuanzisha  vituo vya biashara vya kimataifa katika maeneo ya mipakani ili kuwezesha ununuzi wa bidhaa zetu kwa urahisi. Katibu Mkuu huyo ametoa agizo hilo wakati akifunga mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa Biashara kutoka mikoa yote nchini yaliyokuwa

    READ MORE
Translate »