RC MAKALLA AWAPONGEZA NMB KWA KUTOA MIKOPO KWA WATUMISHI. Awapa Somo la “MSHAHARA WAKO NI SAWASAWA NA MATUMIZI NA KUJIWEKEA AKIBA” (Income = Consumption + Savings).

RC MAKALLA AWAPONGEZA NMB KWA KUTOA MIKOPO KWA WATUMISHI. Awapa Somo la “MSHAHARA WAKO NI SAWASAWA NA MATUMIZI NA KUJIWEKEA AKIBA” (Income = Consumption + Savings).

Na Mwandishi wetu, Dar Es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewataka Watumishi kukopa kwa malengo ya kuboresha maisha ya Sasa na baadae na kuhakikisha mikopo wanayochukuwa wanaitumia kuanzisha miradi yenye tija. RC Makalla amewataka Walimu kuacha kurubuniwa kwa mikopo ya Chapu Chapu yenye riba kubwa ambayo mwisho wa siku

Na Mwandishi wetu, Dar Es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewataka Watumishi kukopa kwa malengo ya kuboresha maisha ya Sasa na baadae na kuhakikisha mikopo wanayochukuwa wanaitumia kuanzisha miradi yenye tija.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla

RC Makalla amewataka Walimu kuacha kurubuniwa kwa mikopo ya Chapu Chapu yenye riba kubwa ambayo mwisho wa siku inawaingiza Katika Maisha Magumu badala ya neema.

Aidha RC Makalla amewapatia Walimu somo la namna Bora ya kutumia Mshahara wao na kuweka akiba kwaajili ya kuanzisha miradi ya kujiimarisha kiuchumi ili watakapostaafu Waweze kuishi maisha Bora.

Hayo yote yamejiri wakati wa ufunguzi wa Semina ya Siku ya Walimu iliyoandaliwa na bank ya NMB.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »