• TFS INAKUJA NA MUONGOZO WA KUONGEZA THAMANI YA MAZAO YA NYUKI.

    TFS INAKUJA NA MUONGOZO WA KUONGEZA THAMANI YA MAZAO YA NYUKI.0

    Katika kuhakikisha mazao ya nyuki yanayozalishwa nchini yanaendelea kuwa na viwango vya ubora vinavyohitajika katika masoko ya kimataifa, Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS inatarajia kuja na muongozo wa kuongeza thamani ya mazao hayo nchini. Akizungumza mara baada ya kumaliza mafunzo maalumu ya kuongezaa dhamani ya mazao

    READ MORE
  • SERIKALI YAKANUSHA KUUZWA MIAKA 100 BANDARI YA DAR ES SALAAM.

    SERIKALI YAKANUSHA KUUZWA MIAKA 100 BANDARI YA DAR ES SALAAM.0

    Ni hivi; 1. Kilichotolewa ni tangazo la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutaka maoni ya wadau kuhusu azimio la Bunge la kuridhia mapendekezo ya Serikali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu uendelezaji wa kiuchumi na kijamii unaolenga uendeshaji na uboreshaji wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania

    READ MORE
  • 0

    Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing ya nchini Marekani imekabidhi ndege ya mizigo aina ya Boeing 767-300F kwa Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (TGFA) tayari kwa safari ya ndege hiyo kutoka Marekani na kuja hapa nchini Tanzania. Makabidhiano hayo yamefanywa katika kiwanda Boeing kilichopo Jiji Seattle nchini Marekani kwa Wawakilishi wa Serikali ya Tanzania

    READ MORE
Translate »