RAIS DKT.MWINYI AMESHIRIKI MKUTANO WA 14 WA BARAZA LA BIASHARA.

RAIS DKT.MWINYI AMESHIRIKI MKUTANO WA 14 WA BARAZA LA BIASHARA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam leo tarehe 09 Juni 2023. Mkutano huo umeongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) , Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia

Inaweza kuwa picha ya meza, jukwaa na maandishi yanayosema 'BARAZA LA TAIFA ABIASHARA MKUTAN WA WA TNBC DHIMA: "MAZINGI UCHUMI BORA BIASHAR KWA SHIRIK'
Inaweza kuwa picha ya Watu 6, jukwaa na maandishi
Inaweza kuwa picha ya Watu 7 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Watu 7, jukwaa na maandishi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam leo tarehe 09 Juni 2023. Mkutano huo umeongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) , Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan .Vilevile katika mkutano huo Mwenyekiti wa TNBC, Mhe.Rais Dkt. Samia ameipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa sera ya uchumi wa buluu na kuendelea kukuza soko la mazao ya bahari Duniani. Pia amemshukuru Rais Dk.Mwinyi kwa kuhudhuria kwake mkutano huo na viongozi waandamizi kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »