Ni hivi; 1. Kilichotolewa ni tangazo la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutaka maoni ya wadau kuhusu azimio la Bunge la kuridhia mapendekezo ya Serikali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu uendelezaji wa kiuchumi na kijamii unaolenga uendeshaji na uboreshaji wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania
Ni hivi;
1. Kilichotolewa ni tangazo la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutaka maoni ya wadau kuhusu azimio la Bunge la kuridhia mapendekezo ya Serikali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu uendelezaji wa kiuchumi na kijamii unaolenga uendeshaji na uboreshaji wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA).
NA SIO KUIPATIA KAMPUNI YA DP WORLD (Dubai World) BANDARI YA DAR ES SALAAM KWA MIAKA 100, AMA KUUZWA KWA BANDARI KWA MIAKA 100 KAMA WAPOTOSHAJI WANAVYODAI.Wapuuzeni, Serikali ipo makini kulinda maslahi ya nchi na chochote kitakachofanyika, kitafanyika kwa uwazi na mtajulishwa.
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *