• WATANZANIA TUMIENI NISHATI MBADALA.

    WATANZANIA TUMIENI NISHATI MBADALA.0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kubadilika na kutumia nishati mbadala ili kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne, Mei 30, 2023) baada ya kutembelea mabanda ya maonesho ya wiki ya Nishati inayofanyika katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Aidha, Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa Wizara ya Nishati

    READ MORE
  • Serikali inatoa mikopo isiyo na riba ya pembejeo za ufugaji samaki.

    Serikali inatoa mikopo isiyo na riba ya pembejeo za ufugaji samaki.0

    Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Maendelo ya Kilimo (TADB) inatekeleza mradi wa kutoa mikopo yenye masharti nafuu na isiyo na riba ya pembejeo za ufugaji samaki ikijumuisha vizimba, vifaranga vya samaki na chakula cha samaki kwa ajili ya ufugaji samaki kwa njia ya vizimba.Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. David Silinde amesema hayo

    READ MORE
  • TIGO WATUA BUNGENI, PATA MKOPO WA SIMU KWA TSH. 1000

    TIGO WATUA BUNGENI, PATA MKOPO WA SIMU KWA TSH. 10000

    Na Mwandishi Wetu. Kampuni namba moja nchini kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali Tigo ipo katika viwanja vya bunge,ikiwa na banda mahususi litoalo huduma na bidhaa zao mbalimbali kwa wabunge , wafanyakazi na wateja mbalimbali ambapo kubwa zaidi ni uwepo wa simu janja ambayo kila mtanzania anaweza kujipatia simu kwa mkopo wa malipo ya Tsh 1000/siku

    READ MORE
Translate »