• ASA Yatarajia Kuzalisha Mbegu Tani 4,000

    ASA Yatarajia Kuzalisha Mbegu Tani 4,0000

    Wakala wa Mbegu za kilimo (ASA), unatarajia kuzalisha tani 4,000 za mbegu kwa msimu huu wa kilimo ikiwa ni moja ya mafanikio yaliyopatikana baada ya ongezeko la bajeti ya wakala huo ya mwaka wa fedha 2022/23 kufikia Shilingi bilioni 47. Takwimu hizo zimetajwa hivi karibuni mkoani Morogoro na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mbegu za

    READ MORE
  • WAZIRI MKUU AZINDUA MIFUMO YA KIBIASHARA YA JIBA

    WAZIRI MKUU AZINDUA MIFUMO YA KIBIASHARA YA JIBA0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua programu ya kompyuta maarufu kama JIBA App iliyotengenezwa na taasisi ya kibiashara ya Jaffery International Business Association (JIBA) tawi la Tanzania. Programu hiyo ambayo lengo lake kuu ni kutengeneza fursa za biashara, itawezesha upatikanaji wa taarifa juu ya fursa za uwekezaji za ndani na nje ya nchi na hivyo kurahisisha mawasiliano miongoni mwa

    READ MORE
  • ”Makundi maalum, tumieni fursa zinazotolewa na benki za ndani ”Waziri Dkt.Gwajima.

    ”Makundi maalum, tumieni fursa zinazotolewa na benki za ndani ”Waziri Dkt.Gwajima.0

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima (Mb), amewataka Wananchi hasa wa Makundi maalum kutumia fursa zinazotolewa na benki za ndani ya nchi ili kujikwamua kiuchumi.Akizungumza wakati alipotembelea benki ya NMB Makao Makuu Jijini Dar es salaam,  24 Januari 2023,  Waziri Gwajima amebaini fursa mbalimbali zinazotolewa na benki

    READ MORE
  • MFUKO WA UWEKEZAJI WA ‘FAIDA FUND’ KULETA NEEMA KWA WANANCHI WA HALI ZOTE

    MFUKO WA UWEKEZAJI WA ‘FAIDA FUND’ KULETA NEEMA KWA WANANCHI WA HALI ZOTE0

    Na Mwandishi Dar es salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,  Jenista Mhagama amesema mfuko wa uwekezaji wa pamoja wa FAIDA FUND umeanzishwa kwa lengo la kuwanufaisha watanzania wote wa kipato cha chini, kati na cha juu ambao wamekuwa wakikabiliana na changamoto ya kupata mtaji wa kuwekeza

    READ MORE
  • BENKI YA I&M YATANGAZA HABARI NJEMA0

     Na Mwandishi Wetu Siku ya Alhamisi 27 Oktoba 2022, Benki ya I&M Tanzania hivi karibuni imefanya hafla ya chakula cha jioni na wateja wake iliyofuatiwa na usiku wenye muziki na burudani katika ukumbi wa Serena Hotel, Dar es salaam. Hafla hiyo iliyokuwa na watu wengi waliohudhuria, ilihudhuriwa pia na Mwenyikiti wa Bodi wa kampuni hiyo,

    READ MORE
  • WASHINDI WA WAKISHUA TWENZETU QATAR NA Hisense WIKI YA PILI NA YA TATU WAPATIKANA

    WASHINDI WA WAKISHUA TWENZETU QATAR NA Hisense WIKI YA PILI NA YA TATU WAPATIKANA0

     Na Mwandishi Wetu. • SASA ZIMEBAKIA TIKETI 29 na vifurushi vya vifaa vya nyumbani 24 kutoka Hisense.  Oktoba  21, 2022,  Kampuni inayoongoza Tanzania katika kuhakikisha mtanzia anaishi maisha ya kidijitali Tigo Tanzania, kupitia Promosheni yake ya WAKISHUA TWENZETU QATAR na Hisense kwa kushirikiana na kampuni ya HISENSE wametoa tiketi 19 za kwenda Qatar kushuhudia kombe

    READ MORE
Translate »