• Wachungaji wapewa maelekezo kuhusu Corona.

    Wachungaji wapewa maelekezo kuhusu Corona.0

    ASKOFU wa Kanisa la Calvary Assemblies of God (CAG) jimbo la Kagera, Damian Rwabutikula amewataka wachungaji mkoani humo kuzingatia masharti na maelekezo ya wataalamu wa afya katika utendaji wao wa kutoa huduma za kichungaji kwa waumi wao jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa Corona. Askofu Rwabutikula ametoa wito huo katika ibada ya kuwasimika wachungaji wa

    READ MORE
  • Rais Dkt. Mwinyi amekutana na  Mwenyekiti wa UAE Sheikh Ahmad Al Nazir Al Falasi na ujumbe wake.

    Rais Dkt. Mwinyi amekutana na Mwenyekiti wa UAE Sheikh Ahmad Al Nazir Al Falasi na ujumbe wake.0

    STATE HOUSE ZANZIBAR OFFICE OF THE PRESS SECRETARY PRESS RELEASE  Zanzibar                                                                                                 05.07.2021 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na  Mwenyekiti wa Taasisi inayoshughulikia misaada ya Kibinaadamu kutoka Umoja wa Nchi za Kiarabu (UAE) Sheikh Ahmad Al Nazir Al Falasi na ujumbe wake. Katika

    READ MORE
  • WANACHUO WA CHINA WATAKA WAKULIMA KURAHISISHIWA SHUGHULI ZA UZALISHAJI.

    WANACHUO WA CHINA WATAKA WAKULIMA KURAHISISHIWA SHUGHULI ZA UZALISHAJI.0

    Wanafunzi wanaosoma chuo kikuu cha kilimo nchini China CAU wameiomba serikali ya mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na chuo hicho ambao wanatekeleza mradi wa pamoja wa kupunguza umasikini kwa wakulima wadogo kupitia kilimo cha mahindi kuangalia namna ya kuwapunguzia gharama wakulima hao ili kuendana na kipato chao Wanafunzi hao ambao wanasoma kwa njia ya mtandao

    READ MORE
  • AIS MWINYI NA KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO

    AIS MWINYI NA KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO0

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar awamu ya nane imeanza kutekeleza Ilani ya Uchaguzi na hivi karibuni Serikali imeshapitisha Bajeti yake na kuhakikisha kwamba yake waliowaahidi wananchi yanatekelezwa. Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi ameyasema hayo Ikulu Jijini Zanzibar wakati alipokutana na Katibu Mkuu

    READ MORE
  • MAJALIWA: TUMEDHAMIRIA KUENDELEZA ZAO LA ZABIBU

    MAJALIWA: TUMEDHAMIRIA KUENDELEZA ZAO LA ZABIBU0

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendeleza zao la zabibu na kuhakikisha linaleta tija kwa wakulima. “Serikali imeanzisha kampeni ya kuhamasisha kilimo cha zao la zabibu, tunataka kumsaidia mkulima kuanzia maandalizi ya shamba, upatikanaji wa pembejeo hadi hatua ya mauzo.” Ameyasema hayo leo

    READ MORE
  • WAZIRI SIMBACHAWENE ASEMA KATI YA MAJAMBAZI KUMI WANAOKAMATWA NCHINI, WATATU WANATOKA GEREZANI, WANARUDIA TENA KUFANYA UHALIFU

    WAZIRI SIMBACHAWENE ASEMA KATI YA MAJAMBAZI KUMI WANAOKAMATWA NCHINI, WATATU WANATOKA GEREZANI, WANARUDIA TENA KUFANYA UHALIFU0

    Na Barnabas Kisengi-Kibakwe. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema katika operesheni ya kuwasaka majambazi inayoendelea nchini kati ya majambazi kumi wanaokamatwa mitaani, watatu wanatoka gerezani. Amesema kuwafunga majambazi hao hakusaidii sana kwasababu wanarudi mitaani na kuendelea kufanya uhalifu wa aina mbalimbali pamoja na kuwaua watu wenye haki, hivyo watatafuta namna nyingine

    READ MORE
Translate »