AIS MWINYI NA KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO

AIS MWINYI NA KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar awamu ya nane imeanza kutekeleza Ilani ya Uchaguzi na hivi karibuni Serikali imeshapitisha Bajeti yake na kuhakikisha kwamba yake waliowaahidi wananchi yanatekelezwa. Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi ameyasema hayo Ikulu Jijini Zanzibar wakati alipokutana na Katibu Mkuu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar awamu ya nane imeanza kutekeleza Ilani ya Uchaguzi na hivi karibuni Serikali imeshapitisha Bajeti yake na kuhakikisha kwamba yake waliowaahidi wananchi yanatekelezwa.

Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi ameyasema hayo Ikulu Jijini Zanzibar wakati alipokutana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo na ujumbe wake wakati walipokwenda kujitambulisha kwa Mheshimiwa Rais kwa mara ya kwanza tangu kuteuliwa kushika wadhifa huo.

Abdi Shamna, Ikulu Zanzibar

Postal Address: 2422 Tel.:0777476982. Fax: 024 2231822 

 E-mail: abdya062@gmail.com

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »