• WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS SAMIA MAZISHI YA ABE

    WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS SAMIA MAZISHI YA ABE0

    Na Mwandishi Wetu Japan. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wa pili kushoto)  wakijiandaa kuweka maua wakati wa  mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Waziri Mkuu Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo  Abe yaliyofanyika  Tokyo nchini Japan Septemba 27, 2022. Wengine kutoka kushoto  ni mke wa Balozi wa Tanzania nchini Japan, Consolata Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan, Baraka Luvanda na

    READ MORE
  • VYOMBO VYA HABARI VYA KENYA KUTORUSHA UAPISHO WA RUTO

    VYOMBO VYA HABARI VYA KENYA KUTORUSHA UAPISHO WA RUTO0

    Timu ya Mawasialiano ya Rais Mteule imezuia vyombo vya habari vya nchini humo kurusha hafla ya kuapishwa kwa William Ruto na kutoa haki za kipekee za utangazaji kwa Multichoice Kenya Ltd. Tangazo hilo limepokelewa kwa hisia tofauti na wanahabari wa ndani na mashirika ya habari, huku gazeti la Daily Nation likimshutumu Ruto kwa kupoteza fursa

    READ MORE
  • URAIS WA RUTO KUPINGWA MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI

    URAIS WA RUTO KUPINGWA MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI0

    Mgombea Mwenza wa Raila Odinga, Martha Karua amegusia uamuzi wa kuhamishia Pingamizi la Urais nchini Tanzania ili kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu ulioidhinisha ushindi wa Rais Mteule William Ruto. “Nafikiria kusafiri kwenda Mahakama ya Afrika Mashariki ili tukajadili hukumu hiyo. Nina muda, kwa sasa nitapumzika lakini ninafikiria kwenda katika Mahakama ya Haki ya Afrika

    READ MORE
Translate »