Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mama Mariam Mwinyi wamejumuika katika hafla fupi ya chakula cha mchana na Wachezaji 20 wa Timu ya Tanzania inayoundwa na Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wanaoshiriki mashindano ya Olimpiki kwa watu wenye mahitaji maalum. Hafla hiyo ya chakula cha mchana
READ MORE- Habari, Kimataifa
- June 19, 2023
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda amevitakavikundi vya Ulinzi na Usalama vinavyoshiriki zoezi la Ushirikiano Imara 2023 kwamajeshi ya nchi za Afrika ya Mashariki kuhakikisha vinaliwakilisha vema taifa laTanzania ili kujenga ushirikiano mzuri na nchi jirani.Akizungumza mara baada ya ufunguzi wa zoezi hilo linalofanyika katika mji waMusanze, Rwanda, Jenerali Mkunda
READ MOREAkihutubia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC), Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini Mali, Abdoulaye Diop amevishutumu Vikosi vya kulinda amani chini ya #UN (MINUSMA) kuwa chanzo cha matatizo na kuchochea migogoro ya ndani. Licha ya kuwa na Walinda amani takriban 13,000, #MINUSMA ambayo inamaliza muda wake Juni 29, 2023 imelaumiwa kwa kushindwa
READ MORE