RAIS MWINYI AJUMUIKA NA WACHEZAJI WA OLIMPIKI KATIKA HAFLA YA CHAKULA UJERUMANI.

RAIS MWINYI AJUMUIKA NA WACHEZAJI WA OLIMPIKI KATIKA HAFLA  YA CHAKULA UJERUMANI.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mama Mariam Mwinyi wamejumuika katika hafla fupi ya chakula cha mchana na Wachezaji 20 wa Timu ya Tanzania inayoundwa na Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wanaoshiriki mashindano ya Olimpiki kwa watu wenye mahitaji maalum. Hafla hiyo ya chakula cha mchana

Inaweza kuwa picha ya Watu 3
Inaweza kuwa picha ya Watu 5
Inaweza kuwa picha ya Watu 3 na maandishi
Inaweza kuwa picha ya Watu 7 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Watu 8
Inaweza kuwa picha ya Watu 4
Inaweza kuwa picha ya Watu 3 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Watu 5 na maandishi
Inaweza kuwa picha ya Watu 9
Inaweza kuwa picha ya Watu 7

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mama Mariam Mwinyi wamejumuika katika hafla fupi ya chakula cha mchana na Wachezaji 20 wa Timu ya Tanzania inayoundwa na Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wanaoshiriki mashindano ya Olimpiki kwa watu wenye mahitaji maalum.

Hafla hiyo ya chakula cha mchana imefanyika leo Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani.

Aidha Rais Dk.Mwinyi amewatia moyo na kuwatakia kila kheri katika mashindano hayo pamoja na kuwaalika Zanzibar pindi watakapomaliza mashindano.

Mwaka 2019 Tanzania iliibuka mshindi wa Dunia katika michezo ya Mpira wa Wavu na riadha na kuibuka washindi ambapo timu hizo zilipata medali ya shaba Abu Dhabi, UAE.

Rais Dk.Mwinyi atahudhuria ufunguzi wa Mashindano ya Olimpiki Maalumu ya Dunia yanayotarajiwa kufunguliwa leo tarehe 17 Juni hadi 25 Juni katika uwanja wa Olimpia Berlin, Ujerumani.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »