• Wataalamu waelekezi wa miradi fanyeni tathmini ili kubaini kama kuna ufanisi au changamoto.

    Wataalamu waelekezi wa miradi fanyeni tathmini ili kubaini kama kuna ufanisi au changamoto.0

    Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mohammed Khamis Abdullah amewataka wataalamu waelekezi wa miradi kufanya ufuatiliaji wa tathmini ili kubaini kama kuna ufanisi au changamoto ili waweze kuzitatua.Abdullah ametoa kauli hiyo leo wakati akifungua Mafunzo ya Mifumo ya Ufuatiliaji na Tathmini, Uhasibu na Ugavi kwa wataalamu wawezeshaji wa halmashauri za wilaya zinazotekeleza Mradi

    READ MORE
  • VYOMBO VYA HABARI VYATAKIWA KUFICHUA UOVU NA KUELIMISHA JAMII

    VYOMBO VYA HABARI VYATAKIWA KUFICHUA UOVU NA KUELIMISHA JAMII0

    Na Mwandishi wetu-Dodoma  Vyombo vya habari nchini vimetakiwa kuwa mstari wa mbele kusaidia kufichua uovu na pia kuelemisha jamii kuondokana na mila potofu zinazosababisha vitendo vya ukatili kwa Wazee na wote wasio na hatia. Rai hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima wakati wa kikao

    READ MORE
  • Kadinali Pengo amtembelea Mama Janet Magufuli

    Kadinali Pengo amtembelea Mama Janet Magufuli0

    Ikiwa leo ni Arobaini (40) ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, Mwadhama Kadinali Polycarp Pengo amemtembelea Mjane wa Dkt. Magufuli, Mama Janet Magufuli Nyumbani kwake ambapo pia amempa zawadi ya sanamu ndogo ya Bikira Maria.

    READ MORE
  • MKE WA RAIS DKT. MWINYI AMESISITIZA MATUNZO WA WAZEE

    MKE WA RAIS DKT. MWINYI AMESISITIZA MATUNZO WA WAZEE0

    MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amesema kuwa katika Dini ya Uislamu Mwenyezi Mungu amehimiza kuwatunza wazee kwa kuwafanyia wema na ihsani katika maisha yao yote. Mama Mariam Mwinyi aliyasema hayo leo kwa nyakati tofauti katika hafla ya kuwakabidhi futari na sabuni wazee wanaoishi Sebleni na Welezo katika Mkoa wa Mjini Magharibi. Katika

    READ MORE
  • RAIS DKT. MWINYI AAGIZA MAMLAKA KUREKEBISHA SHERIA KANDAMIZI KWA WAJANE

    RAIS DKT. MWINYI AAGIZA MAMLAKA KUREKEBISHA SHERIA KANDAMIZI KWA WAJANE0

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza haja ya kurekebishwa Sheria kandamizi ambazo zimekuwa zikiwakosesha haki zao za msingi wanawake wajane hapa Zanzibar. Rais Dk. Mwinyi aliyasema hayo leo wakati alipokutana na kufanya  mazungumzo na viongozi wa Jumuiya ya Wanawake Wajane Zanzibar (ZAWIO), walipofika Ikulu Jijini Zanzibar. Rais

    READ MORE
  • SERIKALI YA ZANZIBAR IMEBANIA KUMALIZA CHANGAMOTO YA MAJI

    SERIKALI YA ZANZIBAR IMEBANIA KUMALIZA CHANGAMOTO YA MAJI0

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, imedhamiria kuzitatua changamoto zote zinazowakabili wananchi katika kila nyanja, ili lile lengo lililokusudiwa na Serikali ya Awamu ya nane liweze kufikiwa. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla,  ameyasema hayo alipokutana na uongozi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Ofisini kwake Vuga,  kwa ajili ya kujadiliana

    READ MORE
Translate »