• BONYEZA HAPA KUONA MATOKEO DARASA LA SABA 2022

    BONYEZA HAPA KUONA MATOKEO DARASA LA SABA 20220

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limetangaza matokeo ya darasa la saba ya mwaka huu likisema watahiniwa zaidi ya 1.07 milioni kati ya 1.34 milioni wenye matokeo sawa na asilimia 79.62 wamefaulu kwa kupata madaraja A na B na C. Bonyeza hapa kuona Matokeo Darasa la Saba 2022… https://matokeo.necta.go.tz/psle2022/psle.htm Kati ya hao wasichana ni 558,825 ambao

    READ MORE
  • WAZIRI MKENDA NA WAZIRI LELA MOHAMED WAONGOZA KIKAO CHA MAPITIO YA SERA NA MITAALA JIJINI DODOMA

    WAZIRI MKENDA NA WAZIRI LELA MOHAMED WAONGOZA KIKAO CHA MAPITIO YA SERA NA MITAALA JIJINI DODOMA0

    Na Mathias Canal, WEST-Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prf Adolf Mkenda (Mb) pamoja na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Lela Mohamed wameongoza Kikao cha kazi cha mapitio ya Sera na Mitaala. Akizungumza katika kikao hicho cha Menejimenti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na timu za mapitio

    READ MORE
  • ADEM YADAHILI WALIMU 1,839 MAFUNZO YA UDHIBITI UBORA NA USIMAMIZI ELIMU

    ADEM YADAHILI WALIMU 1,839 MAFUNZO YA UDHIBITI UBORA NA USIMAMIZI ELIMU0

    Na Moreen Rojas,Dodoma. Wakala wa maendeleo ya Uongozi wa elimu (ADEM) imedhahili walimu 1,839 katika mafunzo ya stashahada ya uongozi na usimamizi wa elimu DEMA na stashahada ya udhibiti ubora wa shule DSQA ili kuwapa ujuzi na maarifa walimu katika usimamizi,ufuatiliaji na tathimini katika elimu. Hayo yameelezwa na mtendaji mkuu wa wakala (ADEM) Dkt.Siston Mgullah

    READ MORE
  • RC MAKALLA AMSHUKURU RAIS SAMIA KUTOA BILIONI 3 UJENZI SHULE MPYA YA WASICHANA DSM

    RC MAKALLA AMSHUKURU RAIS SAMIA KUTOA BILIONI 3 UJENZI SHULE MPYA YA WASICHANA DSM0

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo ametembelea na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Shule Mpya ya wasichana Dar es salaam inayojengwa kwenye Kata ya Kwembe Wilaya ya Ubungo ambapo amemshukuru Rais Samia kwa kutoa Shilingi Bilioni 3 za kufanikisha Ujenzi huo. RC Makalla amesema Shule hiyo ya bweni itachukuwa Wanafunzi

    READ MORE
  • WANAFUNZI WA KIKE WANAONGOZA KWENYE UDAHILI(TICD).

    WANAFUNZI WA KIKE WANAONGOZA KWENYE UDAHILI(TICD).0

    Na Moreen Rojas Dodoma Kwa mwaka 2021/2022, taasisi ilikuwa na jumla ya wanafunzi 2749 kati ya hao,wanafunzi 1812 sawa na 65.9% walikuwa ni wanawake na wanafunzi 935 sawa na 34.1% walikuwa ni wanaume,hili ni ongezeko la wanafunzi 139 sawa na 5.3% ya idadi ya wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2020/2021. Dkt.Bakari George Mkuu wa Taasisi

    READ MORE
  • SERIKALI YATOA TSH. BILIONI 6.7 KUKAMILISHA UJENZI VYUMBA VYA MADARASA JIJINI DODOMA

    SERIKALI YATOA TSH. BILIONI 6.7 KUKAMILISHA UJENZI VYUMBA VYA MADARASA JIJINI DODOMA0

    Na Barnabas Kisengi-Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma  Rosemary Senyamule, amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa madarasa ya shule za sekondari unaendelea kujengwa jijini Dodoma.Madarasa hayo yanayojengwa kwa fedha zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya kukidhi nafasi kwa wanafunzi wapya wa kidato cha kwanza wanaotarajia kuanza masomo yao mwakaka 2023. Mkoa wa Dododma Rosemary Senyamule

    READ MORE
Translate »