• MWENYEKITI TLP APIGILIA MSUMARI KATIBA MPYA.

    MWENYEKITI TLP APIGILIA MSUMARI KATIBA MPYA.0

    Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha Tanzania Labour Party TLP Eng. Aivan Maganza amekitaka chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema kuachana na mpango wa kudai katiba mpya. Eng. Maganza amesema hayo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mako makuu wa chama hicho jijini Dar es salaam.

    READ MORE
  • CCM YARIDHISHWA NA  JUHUDI KUBWA ZINAZOCHUKULIWA NA SERIKALI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA SEKTA YA UWEKEZAJI.

    CCM YARIDHISHWA NA JUHUDI KUBWA ZINAZOCHUKULIWA NA SERIKALI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA SEKTA YA UWEKEZAJI.0

    Chama Cha Mapinduzi kimesema  kinaridhishwa na kutambua jitihada kubwa zinazochukuliwa na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan  katika sekta  ya uwekezaji ambapo mazingira ya mazuri ya  kuaminika na  kuvutia ya  uwekezaji nchini  yamepelekea milango ya uchumi wa nchi kuanza kufunguka kwa kasi jambo ambalo  linatoa taswira mpya ya Taifa kupiga hatua za kimaendeleo. Katibu wa

    READ MORE
  • UVCCM TEMEKE WAMUONYA PAMBALU KUHUSU KATIBA MPYA

    UVCCM TEMEKE WAMUONYA PAMBALU KUHUSU KATIBA MPYA0

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi, UVCCM Kata ya Sandali Manispaa ya Temeke kupitia kwa Katibu wao, Mrisho Kamba wamemtaka Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, John Pambalu kuachana kampeni yake ya kudai Katiba Mpya Bwana Mrisho Kamba amesema agenda ya Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM)

    READ MORE
Translate »