• VIONGOZI WASIOCHANJA WAJIUZULU-WAZIRI DKT. DOROTHY GWAJAIMA

    VIONGOZI WASIOCHANJA WAJIUZULU-WAZIRI DKT. DOROTHY GWAJAIMA0

    • Afya
    • December 1, 2021

    Waziri wa Afya Dr. Dorothy Gwajima amesema msimamo wa Tanzania chanjo ni hiari bila malipo lakini kwa maoni yake yeye kama Kiongozi hajachanjwa na anaenda kuwaelimisha Wananchi anapaswa kujipima na kuachia ngazi “kwa maoni yangu Mimi hustahili, kaa pembeni na wewe uelimishwe na aliyeeelewa ukishaelewa ukawa wa mfano utarejea” “Wenye Mamlaka ya kuelimisha Watu wachanjwe

    READ MORE
  • RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KULINDA NA KUIMARISHA AFYA ZA WATANZANIA-MAJALIWA

    RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KULINDA NA KUIMARISHA AFYA ZA WATANZANIA-MAJALIWA0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kulinda na kuimarisha afya za Watanzania hasa wakati huu tunapoelekea kutimiza dira ya kuutokomeza UKIMWI nchini ifikapo mwaka 2030. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo (Ijumaa, Novemba 26, 2021) wakati akifungua Kongamano la Kisayansi la Kitaifa Kuhusu

    READ MORE
  • TANZANIA YAPOKEA TENA YA  CHANJO CORONA DOZI 499,590 ZA Pfizer.

    TANZANIA YAPOKEA TENA YA CHANJO CORONA DOZI 499,590 ZA Pfizer.0

    • Afya
    • November 23, 2021

    Na WAMJW-DSM Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea Dozi 499,590 za Pfizer ikiwa ni mwendelezo wa mkakati wa Serikali wa kuwakinga Wananchi dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19. Hafla fupi ya mapokezi imefanyika Novemba 23, 2021 na kuongozwa na Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima katika uwanja wa ndege

    READ MORE
Translate »