• BATIKI YA TANZANIA SASA KUWEKEWA VIWANGO NA TBS

    BATIKI YA TANZANIA SASA KUWEKEWA VIWANGO NA TBS0

    Na Mwandishi Wetu- DSM Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema katika stadi za ujasiriamali Vazi la Batiki litawekewa viwango ili mtu yeyote Duniani akishika vazi letu itambulike kuwa ni Batiki kutoka Tanzania. Waziri Dkt. Gwajima ametoa kauli hiyo leo Julai 08, 2022 wakati wa Siku ya

    READ MORE
  • JESHI LA POLISI DODOMA LINAMSHIKILIA KADA WA CHADEMA ‘TWAHA MWAIPAYA’

    JESHI LA POLISI DODOMA LINAMSHIKILIA KADA WA CHADEMA ‘TWAHA MWAIPAYA’0

    Na Barnabas Kisengi-Dodoma Jeshi la polisi mkoani Dodoma linawashikilia watuhumiwa watatu, akiwemo mratibu wa uhamasishaji wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA taifa, Twaha Mwaipaya kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kwenye ukurasa wake wa twiter kuhusiana na kupanda kwa bei za umeme. Akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake Kamanda wa polisi mkoa

    READ MORE
  • WAZIRI MKUU AKABIDHI MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI RUANGWA

    WAZIRI MKUU AKABIDHI MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI RUANGWA0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Julai 08, 2022 amekabidhi mikopo yenye jumla ya shilingi, 256,158,000 iliyotolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa katika mwaka wa fedha 2021/2022 kwa vikundi 27 vyenye wanufaika 196. Kati ya vikundi hivyo vya wanawake ni 14 ambavyo vimepewa mkopo wa shilingi 36,126,000. Vikundi vinane vya vijana vilipata mkopo wa shilingi

    READ MORE
Translate »