- Habari, Kitaifa, Siasa
- October 17, 2023
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Jokate Mwegelo na ujumbe wake Ikulu Migombani leo tarehe 17 Oktoba, 2023. Mama Mariam Mwinyi amempongeza Jokate kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu
READ MORE- ELIMU, Habari, Kitaifa
- October 17, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wakati akiweka Jiwe la Msingi Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha Wilaya ya Igunga mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua moja ya vyumba vya madarasa
READ MORE- Habari, Kimataifa
- October 17, 2023
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limeahidi kuunga mkono jitihada za Serikali ya Tanzania katika kukuza na kuendeleza sekta ya kilimo. Amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zina mipango ya kuifanya Tanzania kuwa mzalishaji mkubwa wa chakula ndani
READ MORE