Rais Samia ameweka Jiwe la Msingi la Chuo cha Ufundi Stadi (VETA)mkoani Tabora.

Rais Samia ameweka Jiwe la Msingi la Chuo cha Ufundi Stadi (VETA)mkoani Tabora.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wakati akiweka Jiwe la Msingi Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha Wilaya ya Igunga mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua moja ya vyumba vya madarasa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wakati akiweka Jiwe la Msingi Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha Wilaya ya Igunga mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua moja ya vyumba vya madarasa ya Chuo cha VETA cha Wilaya ya Igunga mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.

Muonekano wa Majengo ya Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora yaliyowekewa Jiwe la Msingi na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 17 Oktoba, 2023.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »