• Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yapanua wigo kwa wabunifu kutenga bilioni 5.5

    Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yapanua wigo kwa wabunifu kutenga bilioni 5.50

    Na Barnabas Kisengi, Dodoma Wabunifu watengewa bilioni 5.5 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Eliamana Sedoyoka amesema Serikali imepanua    wigo wa bajeti ya masuala ya ubunifu nchini kutoka Sh.Bilioni moja kwa mwaka 2021/22 hadi kufikia Sh.Bilioni 5.5 kwa mwaka ujao wa fedha 2022/23. Hayo yameelezwa leo  Jijini Dodoma  na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo  Prof.Eliamani Sedoyeka,wakati

    READ MORE
  • WAZIRI DKT. GWAJIMA ATOA MREJESHO MIKUTANO YA KIMATAIFA

    WAZIRI DKT. GWAJIMA ATOA MREJESHO MIKUTANO YA KIMATAIFA0

    Na Barnabas Kisengi – Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt Dorothy Gwajima ametoa mrejesho wa mikutano miwili ya Kimataifa aliyoshiriki  ikiwemo Mkutano wa 66 wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali za Wanawake Duniani uliofanyika nchini Marekani na ule wa Mkutano wa G7 Care Work uliofanyika nchini Ujerumani. Dkt.

    READ MORE
  • SERIKALI KUANZA UCHAPISHAJI WA VITABU NCHINI-WAZIRI MKENDA

    SERIKALI KUANZA UCHAPISHAJI WA VITABU NCHINI-WAZIRI MKENDA0

    Na Mathias Canal, Dar es salaam Serikali imeitaka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kuweka mkakati wa ndani ya mwaka mmoja kuhakikisha inapata mashine kubwa ya kuchapa na kutafuta tenda nafuu ya malighafi ya karatasi. Agizo hilo linakuja wakati ambapo matumizi ya serikali kwa ajili ya kuchapisha vitabu vya nukta nundu vinavyotumiwa na wanafunzi wasioona na

    READ MORE
Translate »