• RAIS SAMIA AMETOA KIPAUMBELE CHA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU-MAJALIWA

    RAIS SAMIA AMETOA KIPAUMBELE CHA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU-MAJALIWA0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imetoa kipaumbele kikubwa cha ajira kwa watu wenye ulemavu, hivyo amewataka wajitokeze kwa wingi kuomba nafasi hizo mara yanapotolewa matangazo. Ameyasema hayo leo (Alhamisi, Mei 19, 2022) wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Stella Alex Ikupa

    READ MORE
  • WAZIRI MKUU: TIMU YA MAWAZIRI WANANE INAHUSIKA NA MIGOGORO MIKUBWA TU

    WAZIRI MKUU: TIMU YA MAWAZIRI WANANE INAHUSIKA NA MIGOGORO MIKUBWA TU0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema timu ya mawaziri wanane kutoka wizara shiriki inashughulikia migogoro mikubwa tu ya ardhi ambayo hulazimu kukutanisha wataalamu kutoka wizara husika. Ametoa kauli hiyo leo (Alhamisi, Mei 19, 2022) Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Mbarali, Bw. Francis Mtega kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu

    READ MORE
  • Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yapanua wigo kwa wabunifu kutenga bilioni 5.5

    Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yapanua wigo kwa wabunifu kutenga bilioni 5.50

    Na Barnabas Kisengi, Dodoma Wabunifu watengewa bilioni 5.5 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Eliamana Sedoyoka amesema Serikali imepanua    wigo wa bajeti ya masuala ya ubunifu nchini kutoka Sh.Bilioni moja kwa mwaka 2021/22 hadi kufikia Sh.Bilioni 5.5 kwa mwaka ujao wa fedha 2022/23. Hayo yameelezwa leo  Jijini Dodoma  na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo  Prof.Eliamani Sedoyeka,wakati

    READ MORE
Translate »