• WIZARA YA MADINI, NHC ZASAINI MKATABA UJENZI WA OFISI DODOMA

    WIZARA YA MADINI, NHC ZASAINI MKATABA UJENZI WA OFISI DODOMA0

    Na Mwandishi wetu Dodoma Wizara ya Madini imesaini Mkataba wa Shilingi Bilioni 22.02 na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wa kuanza ujenzi wa Ofisi za Wizara katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma. Hafla ya kusaini Mkataba wa ujenzi huo imefanyika katika Ofisi za Wizara ya Madini Mtumba jijini Dodoma Septemba 7, 2021 ambapo

    READ MORE
  • WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI0

    *Aitaka ishiriki kikamilifu katika utatuzi wa migogoro ya ardhi WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifungo na ametumia fursa hiyo kutoa wito kwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi ishiriki kikamilifu katika kutatua migogoro baina ya wafugaji na watumiaji wengine wa ardhi. “Hakikisheni wafugaji wanaelimishwa na kuhamasishwa kufuga kulingana na maeneo

    READ MORE
  • JUMLA YA WANAFUNZI 6552 KUFANYA MTIHANI WA KUHITIMU DARASA LA SABA KESHO WILAYANI MPWAPWA

    JUMLA YA WANAFUNZI 6552 KUFANYA MTIHANI WA KUHITIMU DARASA LA SABA KESHO WILAYANI MPWAPWA0

    Na Barnabas Kisengi, Mpwapwa  Jumla ya wanafunzi 6552 wa shule za msingi wilayani Mpwapwa wanatarajia kufanya mtihani wa kuhitimu darasa la Saba inayotarajiwa kufanyika kesho hapa nchini  Akizungumza na jfivetv.com Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mwanahamisi Ally amesema maandalizi yote yamekamilika vizuri na jumla ya shule 129 zilizopo wilayani mpwapwa zinatarajiwa kufanya

    READ MORE
Translate »