RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Na Mwandishi wetu , MBEYA KIJANA Ivan Kabambala mwenye umri wa miaka (17) Mkazi wa Kagera katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya baada ya kudaiwa kupigwa risasi mgongoni na Askari wa Jeshi la Polisi. Akizungumzia tukio hilo, baba mzazi wa marehemu, Aggrey Kabambala,
READ MOREJamii nchini imeshauriwa kuwa na msimamo wa pamoja katika kupinga vitendo vya udhalilishaji vilivyoshamiri ndani ya visiwa vya Zanzibar ili kupunguza machungu kwa waathika wa vitendo hivyo wakiwemo wanawake na watoto. Makamu wa Pili wa Pili wa Rais Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ametoa ushauri huo mara baada ya kukamilika kwa ibada ya sala ya Ijumaa
READ MORENa saleh Ramadhani Dodoma February 26 2021 JESHI la kujenga Taifa (JKT) limetia saini mkataba wa maridhiano na Wizara ya Kilimo kwa kutambua kuwa kilimo ndiyo uti wa mgongo. Hayo yamebainisha leo Jijini hapa na Mkuu wa Jeshi la kujenga Taifa JKT Meja Generali Charles Mbuge amesema mashirikiano hayo yataleta tija katika uzalishaji mzuri wa sekta
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa mradi wa shule maalumu ya sekondari ya wasichana Ruangwa na amesema kwamba Serikali imeadhamiria kuwekeza katika elimu ya mtoto wa kike kwa lengo la kumuwezesha kutimiza ndoto zake kielimu. Baada ya kukagua mradi huo, Waziri Mkuu amesema ameridhishwa na maendeleo yake na amewataka waliokabidhiwa jukumu la kusimamia ujenzi
READ MORESTATE HOUSE ZANZIBAR OFFICE OF THE PRESS SECRETARY PRESS RELEASE Zanzibar 26.02.2021 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaomba Waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kumuomba Mwenyezi Mungu ili apatikane kiongozi mwengine wa nafasi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar mwenye nia njema na
READ MOREWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amelitaka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini lishirikiane na Chama cha Skauti Tanzania katika kukomesha majanga yatokanayo na moto kwenye Shule za Msingi na Sekondari. Mhe.Jafo ameyasema hayo leo katika makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto Tanzania jijini Dodoma,
READ MORE