Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini lishirikiane na Chama cha Skauti Tanzania kukomesha majanga yatokanayo na moto kwenye Shule za Msingi na Sekondari.

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini lishirikiane na Chama cha Skauti Tanzania kukomesha majanga yatokanayo na moto kwenye Shule za Msingi na Sekondari.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amelitaka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini lishirikiane na Chama cha Skauti Tanzania katika kukomesha majanga yatokanayo na moto kwenye Shule za Msingi na Sekondari. Mhe.Jafo ameyasema hayo leo katika makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto Tanzania jijini Dodoma,


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amelitaka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini lishirikiane na Chama cha Skauti Tanzania katika kukomesha majanga yatokanayo na moto kwenye Shule za Msingi na Sekondari.


Mhe.Jafo ameyasema hayo leo katika makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto Tanzania jijini Dodoma, wakati akizindua kampeni ya pamoja kati ya taasisi hizo mbili, huku akitaja kuwa, mojawapo ya sababu zinazo changia kutokea kwa majanga ya moto ni pamoja na kundi la wanafunzi kutokuwa na uwelewa wa kutosha dhidi ya elimu, hivyo kuanza kwa ushirikiano huo itakuwa ni mwanzo mpya ma mzuri katika kupambana na majanga ya moto shuleni.

Na Atley Kuni, DODOMA.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »