RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameuagiza uongozi wa Wizara ya ardhi na maendeleo ya makaazi kufuatilia na kuharakisha utatuzi wa kesi za migogoro ya ardhi sambamba na kuwachukulia hatua kali watendaji wote wanaohusika katika migogoro hiyo. Mhe. Hemed alilieza hayo wakati akiakhirisha mkutano wa pili wa baraza la kumi
READ MOREVIJANA 40 kutoka Kata 15 za Halmashauri ya Jiji la Mbeya, wamenufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi ikiwemo kupata maarifa ya kuongeza thamani ya bidhaa wanazozalisha kupitia mradi unaoendeshwa na Shirika la Starve for Helping Other People (SHOP) kwa ufadhili wa Foundation for Civil Society . Mradi huo umewasaidia vijana kuzalisha bidhaa zenye viwango ambazo
READ MOREWananchi wa mtaa wa Mgumile kata ya Kagera manispaa ya Kigoma Ujiji wameeleza kukabiliwa na adha ya kukosa huduma za afya karibu hivyo kulazimika kuifuata mbali huku hali hiyo ikitajwa kuwaathiiri zaidi wajawazito ambao hulazimika kubebwa kwenye machela kupelekwa kufuata huduma ambayo imekuwa ikihatarisha usalama wao Adha hiyo inalikabili eneo la mtaa wa Mgumile lenye
READ MORENaibu katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa(TAMISEMI)Bw. Gerald Mweli amewataka walimu kuwekeza katika ufundishaji kwani Makambi shuleni sio suluhisho la kiwango bora cha Elimu Nchini naTayari Barua Rasmi ya kukataza makambi mashuleni tayari imeshatolewa. Mweli Ameyasema hayo katika kikao cha wadau wa Elimu Wilayani kongwa mkoani Dodoma baada ya
READ MORE