VIJANA 40 kutoka Kata 15 za Halmashauri ya Jiji la Mbeya, wamenufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi ikiwemo kupata maarifa ya kuongeza thamani ya bidhaa wanazozalisha kupitia mradi unaoendeshwa na Shirika la Starve for Helping Other People (SHOP) kwa ufadhili wa Foundation for Civil Society . Mradi huo umewasaidia vijana kuzalisha bidhaa zenye viwango ambazo
VIJANA 40 kutoka Kata 15 za Halmashauri ya Jiji la Mbeya, wamenufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi ikiwemo kupata maarifa ya kuongeza thamani ya bidhaa wanazozalisha kupitia mradi unaoendeshwa na Shirika la Starve for Helping Other People (SHOP) kwa ufadhili wa Foundation for Civil Society .
Mradi huo umewasaidia vijana kuzalisha bidhaa zenye viwango ambazo zinakidhi vigezo kwenye soko la ushindani.
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *