Wakazi wa mtaa wa Mgumile waiomba serikali kuwasogezea huduma ya afya.

Wakazi wa mtaa wa Mgumile waiomba serikali kuwasogezea huduma ya afya.

Wananchi wa  mtaa wa Mgumile kata ya Kagera manispaa ya Kigoma Ujiji wameeleza kukabiliwa na adha ya kukosa huduma za afya karibu hivyo kulazimika kuifuata mbali huku hali hiyo ikitajwa kuwaathiiri zaidi wajawazito ambao hulazimika kubebwa kwenye machela kupelekwa kufuata huduma ambayo imekuwa ikihatarisha usalama wao Adha hiyo inalikabili eneo la mtaa wa Mgumile  lenye

UKIWA BLYANSE,MWANANCHI

Wananchi wa  mtaa wa Mgumile kata ya Kagera manispaa ya Kigoma Ujiji wameeleza kukabiliwa na adha ya kukosa huduma za afya karibu hivyo kulazimika kuifuata mbali huku hali hiyo ikitajwa kuwaathiiri zaidi wajawazito ambao hulazimika kubebwa kwenye machela kupelekwa kufuata huduma ambayo imekuwa ikihatarisha usalama wao

Adha hiyo inalikabili eneo la mtaa wa Mgumile  lenye wakazi zaidi ya 2000 ambalo wananchi wake wanaeleza halina  duka la dawa muhimu ,zahanati wala kituo cha afya hali hiyo wameeleza imekuwa ikiwasababisha wajawazito pindi wanapo patwa na uchungu majira ya usiku.

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji Mwailwa Pangani ya utatuzi wa suala hilo amesema.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »