RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Wachakataji wa dagaa wa mwalo wa Kimoyomoyo kijiji cha Ilamba wilayani Muleba mkoani Kagera wanakabiliwa na uhaba wa masoko ya zao hilo hali inayowasababisha dagaa kuharibika. Wachakataji hao wameiomba serikali kuwawezesha kupata elimu ya ujasiriamali, vifungashio na mashine za kukaushia dagaa. NA NYEMO MALECELA, KAGERA.
READ MOREKatibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Tawi la UVCCM Chuo Kikuu cha Mzumbe ambao wametembelea Maonesho ya miaka 44 ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM, Dodoma. Leo Tarehe 9/02/2021.
READ MOREWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MGUMILE NA KAGERA KATA YA KAGERA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI WANASHINDWA KUHUDHULIA MASOMO SHULENI IPASAVYO KUTOKANA NA KUKOSA NAULI YA KULIPIA KUVUSHWA KWENYE MTO LWICHE AMBAO HATA HIVYO UNATAJWA KUWA NA WANYAMA WAKALI KAMA MAMBA NA VIBOKO.
READ MORESerikali imesema kuwa tayari imeandaa kanuni mahususi zitakazotumika kwaajili ya usimamizi na udhibiti wa sekta ndogo ya fedha pamoja na kanuni za jumla kwaajili ya kutekeleza majukumu ya kisera ikiwa ni pamoja na kuhamasisha ,kusimamia na kuendeleza sekta hiyo. Sekta ndogo ya fedha ni miongoni mwa huduma muhimu katika uchumi wa nchi kwani sekta hiyo
READ MOREMwanasiasa Mkongwe Baraka Mohamed shamte amesema Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Huseein Ali Mwinyi atashinda vita ya kupigania maendeleo na kujenga uchumi imara. Pia amemtaja kiongozi huyo amezitumia vyema siku mia moja huku serikali yake ikisaini mikataba mikubwa ya kiuchumi . Hayo yameelezwa na Mwanasiasa huyo mashuhuri akimtaja Rais Dkt Mwinyi
READ MOREWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu ameziagiza Halmashauri zote Nchini kusimamia kwa karibu usafishaji wa mito kwa kuondoa mchanga katika maeneo yao ili kutunza mito. Amesema hayo alipokuwa kwenye kikao cha pamoja na wadau wa uchimbaji mchanga katika jiji la Dar es Salaam kilichofanyika katika ukumbi wa
READ MORE