Wachakataji wa dagaa wa mwalo wa Kimoyomoyo kijiji cha Ilamba wilayani Muleba mkoani Kagera wanakabiliwa na uhaba wa masoko ya zao hilo hali inayowasababisha dagaa kuharibika. Wachakataji hao wameiomba serikali kuwawezesha kupata elimu ya ujasiriamali, vifungashio na mashine za kukaushia dagaa. NA NYEMO MALECELA, KAGERA.
Wachakataji wa dagaa wa mwalo wa Kimoyomoyo kijiji cha Ilamba wilayani Muleba mkoani Kagera wanakabiliwa na uhaba wa masoko ya zao hilo hali inayowasababisha dagaa kuharibika.
Wachakataji hao wameiomba serikali kuwawezesha kupata elimu ya ujasiriamali, vifungashio na mashine za kukaushia dagaa.
NA NYEMO MALECELA, KAGERA.
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *