Wanafunzi wa Tawi la UVCCM Chuo Kikuu cha Mzumbe wametembelea Maonesho ya miaka 44 ya CCM Jijini Dodoma.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Tawi la UVCCM Chuo Kikuu cha Mzumbe ambao wametembelea Maonesho ya miaka 44 ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM, Dodoma. Leo Tarehe 9/02/2021.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »