RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Serikali imewataka Wakurugenzi wote Nchini kukutana na watendaji wa mitaa, vijiji na kuwapa maelekezo ya namna watakavyoenda kusimamia zoezi la uandikishaji nyumba zote katika Mamlaka za Serikali za Mitaa. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo wakati alipokutana Menejimenti ya Ofisi
READ MORESerikali kupitia kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo imetoa maagizo kwa Wakuu Wa Shule zote nchini kuhakikisha somo la michezo linafundishwa ipasavyo ili kuwaandaa vijana vyema. Aidha ameziagiza Halmashauri zote nchini kutenga maeneo kwa ajili ya shughuli za michezo, huku akiagiza Wakurugenzi katika halmashauri hizo kusimamia vyema miundombinu ya michezo
READ MOREKatibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akitoa mada kwenye mkutano wa 104 unaowakutanisha Maafisa Habari na wadau wa Elimu kwa Umma leo tarehe 9 Februari, 2021. Mkutano huo unafanyika mjini Morogoro katika ukumbi wa NSSF na unalenga kutoa mafunzo juu ya matumizi ya mitandao
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Jumanne, Februari 9, 2021 amefungua Maonesho ya Nne ya Mifuko na Programu za Uwezeshaji Wananchi yanayoendelea katika Viwanja vya Shiekh Amri Abied jijini Arusha. Katika ufunguzi huo, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza mifuko na programu zote za uwezeshaji zifanye tathmini ya shughuli na huduma zake ili kubaini mafanikio, changamoto na
READ MOREMkuu wa wilaya ya mpwapwa mkoani Dodoma Jabir Shekimweri akiongozana na kamati yake ya ulinzi na usalama wakipita katika baadhi ya mitaa katika Kata ya mpwapwa mjini wakiangalia baadhi ya majengo ya nyumba baada ya serikali kuagiza kuanzia sasa kodi zote za majengo,mabango na vitambulisho vya wajasiliamali zitalipiwa kupita ofisi za halmashauri za wilaya ambapo
READ MOREMsomaji,wa jfive karibu uyatazame magazeti ya leo tarehe 09/02/2021.
READ MORE