DKT. ABBASI AELEZA MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII NA NAMNA YA KUWAHABARISHA WANANCHI.

DKT. ABBASI AELEZA MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII NA NAMNA YA KUWAHABARISHA WANANCHI.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akitoa mada kwenye mkutano wa 104 unaowakutanisha Maafisa Habari na wadau wa Elimu kwa Umma leo tarehe 9 Februari, 2021. Mkutano huo unafanyika mjini Morogoro katika ukumbi wa NSSF na unalenga kutoa mafunzo juu ya matumizi ya mitandao

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akitoa mada kwenye mkutano wa 104 unaowakutanisha Maafisa Habari na wadau wa Elimu kwa Umma leo tarehe 9 Februari, 2021. Mkutano huo unafanyika mjini Morogoro katika ukumbi wa NSSF na unalenga kutoa mafunzo juu ya matumizi ya mitandao ya kijamii na namna ya kuwahabarisha wananchi juu yanayoendelea kwenye Taasisi zao.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »