TIGO PESA WAZINDUA PROMOSHENI YA "LIPA KWA SIMU , UWin KUHAMASISHA MALIPO KIDIGITALI
- Biashara
- November 23, 2021
Mwandishi Wetu. Ikiwa ni takribani mwezi mmoja na wiki kadhaa tangu kuzinduliwa kwa Promosheni ya WAJIFTISHE GIFTI JUU YA GIFTI inayoendeshwa na Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo Tanzania, Aisha Bakari Hill ameibuka mshindi wa pikipiki aina ya Boxer kupitia KAMPENI YA TIGO “WAGIFTISHE GIFT JUU YA GIFT” akiwa ni
READ MOREMnamo Novemba 23, 2021, Kampuni inayoongoza kwa Utoaji wa huduma za kidijitali, Tigo, kupitia huduma yake ya Lipa Kwa Simu, ilizindua promosheni ya mwisho wa mwaka inayoitwa Lipa Kwa Simu, uWini, promosheni iliyolenga kuhamasisha wateja wa Tigo pesa kutumia huduma ya malipo ya kidijitali.Na Leo Januari 13, 2022Wamekabidhi zawadi ya Pesa Taslim Tsh. Millioni Moja
READ MORENa Mwandishi Wetu. Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tangu kuzinduliwa kwa kampeni ya WAJIFTISHE GIFTI JUU YA GIFTI inayoendeshwa na Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo Tanzania, Bibi Frola Willison Rutabingwa ameibuka mshindi wa pikipiki aina ya Boxer kupitia KAMPENI YA TIGO “WAGIFTISHE GIFT JUU YA GIFT” baada ya kununuliwa
READ MOREMwandishi Wetu. Ikiwa ni wiki kadhaa tangu kuzinduliwa kwa kampeni ya WAJIFTISHE GIFTI JUU YA GIFTI inayoendeshwa na Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo Tanzania, Bwana Jeremia Shoo mkazi wa Kilimanjaro ameibuka mshindi wa pikipiki aina ya Boxer kupitia KAMPENI YA TIGO “WAGIFTISHE GIFT JUU YA GIFT” baada ya kununua
READ MORE