• TIGO WADHAMINI MAONESHO YA BIASHARA ARUSHA 2021 ‘ARUSHA TRADE FAIR’.

    TIGO WADHAMINI MAONESHO YA BIASHARA ARUSHA 2021 ‘ARUSHA TRADE FAIR’.0

    Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za kidigitali ya nchini, Tigo Tanzania, imedhamini Maonesho makubwa ya biashara ya mwisho wa mwaka Arusha, yanayoendelea katika  Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, tangu  Jumatatu ya tarehe 13 na yanatarajiwa kufungwa  Jumapili ya tarehe 19, 2021. Ikumbukwe kuwa Maonesho haya yanayohusisha biashara mbalimbali yanalenga kutoa fursa kwa wafanyabiashara wakubwa, wa-kati

    READ MORE
  • Infinix Hot 11 Play na HOT 11 zimezinduliwa Rasmi nchini Tanzania

    Infinix Hot 11 Play na HOT 11 zimezinduliwa Rasmi nchini Tanzania0

    • Wateja kupata hadi GB 78 za intaneti bila malipo kwa mwaka mzima.Dar es Salaam. Tarehe 8 Desemba, 2021. Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za kidigitali ya nchini, Tigo Tanzania, imeshirikiana na INFINIX Tanzania kuzindua INFINIX Hot 11 Play ambayo itauzwa kwa rejareja kwa 360,000Tshs na HOT 11 405000Tsh.Ushirikiano kati ya INFINIX na Tigo

    READ MORE
  • PIKIPIKI NYINGINE TENA YATOLEWA, PROMOSHENI YA WAJIFTISHE GIFT JUU YA GIFT

    PIKIPIKI NYINGINE TENA YATOLEWA, PROMOSHENI YA WAJIFTISHE GIFT JUU YA GIFT0

    Na Mwandishi Wetu. Ikiwa ni wiki ya pili tangu kuanza kwa kampeni ya WAJIFTISHE GIFTI JUU YA GIFTI inayoendeshwa  na Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo Tanzania Kijana EZRA MWAIKAMBO mkazi wa Kiwalani Dar es salaam ameibuka mshindi baada ya kujinyakulia pikipiki aina ya Boxer kupitia KAMPENI YA TIGO “WAGIFTISHE  GIFT

    READ MORE
  • MTEJA AJISHINDIA PIKIPIKI KAMPENI YA TIGO “WAGIFTISHE  GIFT JUU YA GIFT”.

    MTEJA AJISHINDIA PIKIPIKI KAMPENI YA TIGO “WAGIFTISHE GIFT JUU YA GIFT”.0

    Dar es Salaam tarehe 3 Desemba 2021- Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za kidijitali, Tigo Tanzania, leo imekabidhi pikipiki moja na simu janja za kisasa kwa washindi wa wiki wa kampeni yake ya mwisho wa mwaka inayoitwa Wagiftishe – Gift Juu ya Gift, ambapo wateja wanatakiwa kununua ITEL T20 kwa bei ya 89,000/- kutoka

    READ MORE
  • TCC (Plc) YAADHIMISHA MIAKA 60 KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    TCC (Plc) YAADHIMISHA MIAKA 60 KWA MAFANIKIO MAKUBWA0

    TCC (Plc) inaadhimisha miaka 60 tangu tarehe 4 Desemba 2021- ni hatua kubwa kwa kampuni, wafanyakazi wake, washikadau na washirika. Ili kuadhimisha siku hii ya kihistoria, iliyozinduliwa miaka 60 iliyopita na si mwingine isipokuwa Mwaliumu Julius Nyerere siku chache tu kabla ya uhuru wa Tanzania, TCC (plc) iliandaa hafla kubwa mnamo Novemba 23, 2021 kupongeza

    READ MORE
  • TIGO PESA WAZINDUA PROMOSHENI YA “LIPA KWA SIMU , UWin KUHAMASISHA MALIPO KIDIGITALI

    TIGO PESA WAZINDUA PROMOSHENI YA “LIPA KWA SIMU , UWin KUHAMASISHA MALIPO KIDIGITALI0

    Dar es Salaam, Jumanne, Novemba 23, 2021, Kampuni inayoongoza kwa Utoaji wa huduma za kidijitali, Tigo, kupitia huduma yake ya Lipa Kwa Simu, imezindua promosheni ya mwisho wa mwaka inayoitwa Lipa Kwa Simu, uWini, promosheni inayolenga kuhamasisha wateja wa Tigo pesa kutumia huduma ya malipo ya kidijitali. Kupitia Promosheni hii Watumiaji wote wa Tigo Pesa

    READ MORE
Translate »