• “TANAPA, WADAU WA UTALII SHIRIKIANENI KUITANGAZA RUBONDO”.WAZIRI MKUU MAJALIWA.

    “TANAPA, WADAU WA UTALII SHIRIKIANENI KUITANGAZA RUBONDO”.WAZIRI MKUU MAJALIWA.0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) ishirikiane na wadau wa masuala ya utalii ukiwemo uongozi wa kambi ya kupokea watalii ya Asilia kuitangaza hifadhi ya kisiwa cha Rubondo. Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Oktoba 15, 2021) wakati akizungumza na baadhi ya watumishi wa TANAPA pamoja na wa kambi ya Asilia Rubondo

    READ MORE
  • TIGO PESA KIBUBU YAZIDI KUWANUFAISHA WATEJA WA TIGO.

    TIGO PESA KIBUBU YAZIDI KUWANUFAISHA WATEJA WA TIGO.0

    Na Mwandishi Wetu Baadhi ya wateja wa Tigo Wameendelea kuisifia Huduma ya mfumo wa Kidigitali wa Huduma za Kifedha kupitia simu za Mkononi ambao unawawezesha wateja kuweka akiba ya kiwango fulani cha fedha za kielektroniki (e- money) na kujipatia riba kulingana na Kiwango cha fedha kilichohifadhiwa maarufu kama “TIGO PESA KIBUBU”. Wakizungumza kwa Nyakati tofauti

    READ MORE
  • TIGO KILI HALF MARATHON 2022 YAZINDULIWA RASMI

    TIGO KILI HALF MARATHON 2022 YAZINDULIWA RASMI0

    Na Mwandishi Wetu Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo Tanzania kwa mara ya saba mfululizo imeendelea kudhamini Mashindano ya Mbio za Riadha Kilomita 21 maarufu kama TIGO KILI HALF MARATHON , ambayo Uzinduzi wake kwa Mwaka 2022 umefanyika Oktoba 13, 2021 Jijini Dar Es Salaam Akizungumza katika Uzinduzi huo Mwakilishi

    READ MORE
Translate »