TIGO PESA WAZINDUA PROMOSHENI YA "LIPA KWA SIMU , UWin KUHAMASISHA MALIPO KIDIGITALI
- Biashara
- November 23, 2021
Kampuni inayoongoza kwa maisha ya dijitali nchini Tanzania, Tigo, imezindua shindano la Tigo Kandanda. Washindi wa shindano hili, watakuwa wakipatikana kwa kujibu maswali mbalimbali ya mchezo wa soka kupitia ujumbe mfupi wa maneno na watajishindia zaidi ya sh. Milioni 18. Wateja watakaokuwa wakiju maswali zaidi, ndio watajiongezea nafasi ya kushinda katika shindano hilo. Akizungumza na
READ MOREKampuni inayoongoza kwa maisha ya kidijitali, Tigo Tanzania, imeshirikiana na kampuni ya Sanlam, kuanzisha bima ya simu janja (Smartphones). Huduma hii ni kwa simu mpya zinazonunuliwa katika maduka ya Tigo kote nchini. Mpango huu ni kwa ajili ya simu zinazopotea, kuharibika kwa bahati mbaya au kuibiwa Akizungumzia ushirikiano huo, Mkuu wa Maduka na Bidhaa za
READ MORE