• TIGO, TECNO WAZINDUA SIMU YA KISASA KWA BEI POA

  TIGO, TECNO WAZINDUA SIMU YA KISASA KWA BEI POA0

  Kampuni inayoongoza kwa maisha ya kidijitali nchini , Tigo Tanzania imeshirikiana na Kampuni ya simu za mkononi TECNO  kuzindua simu mpya za mfululizo wa TECNO , ijulikanayo kama TECNO Spark 9. Simu za kisasa za TECNO Spark 9 zinakuja zikiwa na intaneti BURE ya GB 78 kwa mwaka mzima kutoka kwa Tigo, na kuhakikisha kuwa

  READ MORE
 • TIGO NA INFINIX WATANGAZA PROMOSHENI KUBWA KUWAHI KUTOKEA

  TIGO NA INFINIX WATANGAZA PROMOSHENI KUBWA KUWAHI KUTOKEA0

  • Wateja Kupata hadi GB 96 bila malipo kwa mwaka mzima baada ya kununua. Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam tarehe 11 Agosti 2022, Kampuni inayoongoza kwa maisha ya kidijitali ya Tigo Tanzania, imeshirikiana na Infinix kutangaza promosheni mpya kutoka kampuni ya simu ya Infinix inayoitwa ” KALI KULIKO 2022″ ambapo wateja wanaonunua aidha Infinix

  READ MORE
 • LG Garnet Star WAJA NA KUBWA KULIKO MSIMU HUU WA NANE NANE

  LG Garnet Star WAJA NA KUBWA KULIKO MSIMU HUU WA NANE NANE0

   MENEJA wa Bidhaa wa LG Afrika Mashariki Eden Seo (kushoto), akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa LG Afrika Mashariki, Sa Nyoung Kim na Mkurugenzi Mkuu wa Opalnet Rakesh Singh, wakati wa uzinduzi wa friji mpya za LG zenye punguzo la asilimia 33 katika kipindi cha mwezi mzima wa kusherekea sikukuu ya Nane Nane jana jijini Dar

  READ MORE
 • DC SHEKIMWERI APONGEZA , UZINDUZI WA DUKA LA TIGO JIJINI DODOMA

  DC SHEKIMWERI APONGEZA , UZINDUZI WA DUKA LA TIGO JIJINI DODOMA0

  Na Mwandishi Wetu. Kampuni namba moja kwa utoaji wa huduma za Kidigitali nchini , Tigo Tanzania Leo Agosti 5 , 2022 imezindua duka jipya na la kisasa Eneo la Kisasa – Merriwa Jijini Dodoma duka litakalotoa huduma zote za Kidigitali kwa wakazi wa eneo hilo na maeneo jirani Ndani ya Jiji hilo. Akizungumza wakati wa

  READ MORE
 • TIGO WATOA MILIONI 140 KWA MAWAKALA NCHI NZIMA0

  Na Mwandishi Wetu.  Kampuni ya Tigo Tanzania kupitia kampeni yake ya ‘Wakala Push Promotion’  imetoa zawadi kwa mawakala zaidi ya elf moja waliopo nchi nzima kwa kazi kubwa wanayoifanya kuhakikisha wateja wa Tigo pesa wanapata huduma bora ili kukidhi mahitaji yao ya kifedha lakini pia kuchochea ukuaji wa uchumi kwa Mawakala wenyewe, jamii pamoja na

  READ MORE
 • TIGO NA SAMSUNG WAZINDUA SIMU MPYA ZA SAMSUNG Galaxy A33 , A53 na A73.

  TIGO NA SAMSUNG WAZINDUA SIMU MPYA ZA SAMSUNG Galaxy A33 , A53 na A73.0

  Leo Julai 7 2022, Kampuni inayoongoza nchini kwa utoaji wa huduma za Kidigitali Tigo , kwa kushirikiana na Kampuni ya Simu ya Samsung Tanzania wametambulisha rasmi simu janja tatu sokoni kwa mpigo , simu hizo ni SAMSUNG Galaxy A 33 , A53 pamoja na A73 ambazo kuanzia leo hii zinapatikana katika mabanda ya sabasaba pamoja

  READ MORE
Translate »