Na Mwandishi wetu, Julai 06 2021 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewataka wananchi kufuata mifumo na taratibu za kuchukua miili ya marehemu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na zingine zote nchini ili kuondokana na malalamiko kwamba hospitali imekuwa ikizuia kuichukua kwa ajili ya kwenda kuihifadhi. Kauli hiyo imetolewa na
READ MORE06, Julai, 2021 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. MAJALIWA: HALMASHAURI ZA DODOMA ANZISHENI VITALU VYA MICHE YA ZABIBU WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza halmashauri zote za mkoa wa Dodoma zianzishe vitalu vya kuzalisha miche ya zabibu ili kuwawezesha wakulima kupata mbegu kwa uhakika. Pia, Waziri Mkuu amevitaka vyama vya ushirika wa kilimo cha zao la
READ MOREWaziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 6, 2021 amekutana na wadau wa zao la zabibu kujadili na kuweka mikakati ya pamoja ya kuliendeleza zao hilo ili liweze kuleta tija kwa wakulima, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
READ MOREKatika kutekeleza maagizo ya serikali ya Lishe endelevu kwa shule za msingi na secondary yaliyotolewa na waziri mkuu kukabiliana udumavu na utapiamlo kwa wanafunzi na watoto wilayani kongwa katika Kata ya chamkoroma wamefanikiwa kutekeleza maagizo hayo ya serikali kwa kuanzisha kilimo cha bustani za mbogamboga katika shule zote 7 za msingi na secondary moja. Akiongea
READ MORESERIKALI kupitia Wizara ya Afya imewaita kazini watumishi wa Umma katika kada ya Afya wapatao 473 wakiwemo Madaktari Bingwa,Wauguzi na Wataalam wa mionzi waliokidhi vigezo vya ajira. Hayo yameelezwa leo Jijini Dodoma na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Profesa Abel Makubi wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na ajira hizo. Profesa Makubi amesema watumishi
READ MORE