Na Barnabas Kisengi-Dodoma OFISI ya Makamu wa Raisi,Muungano na Mazingira kwakushirikiana na Ofisi ya Rais Tamisemi,Ofisi ya Waziri Mkuu uwekezaji,Wizara ya Afya,wizara ya Elimu na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetoa maelekezo mbalimbali katika kuhakikisha inalinda afya ya Jamii kutokana na athari zitokanazo na kelele na mitetemo. Akizungumza na waandishi wa Habari hii leo
READ MOREMtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma. Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na Katibu Mkuu ujenzi kuelekea Dodoma kwa safari ya Kikazi Amezidiwa leo saa tano asubuhi na kukimbizwa Hospitali ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma, Tanzania ambapo ndipo Mauti umemfika muda mchache baada ya kufikishwa.
READ MOREPicha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW Na Mwandishi Wetu, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeitaka jamii ya kitanzania kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia katika maeneo yao. Hayo yamebainika leo jijini Dodoma katika kikao kilichokutanisha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma
READ MOREJumla ya Shilingi Milioni Tisini na Tano (95,000,000/=) zimekusanywa katika harambee ya kuchangia vifaa kwa watoto wenye Mahitaji maalum kutoka katika skuli tano za Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi aliendesha Harambee hiyo iliosimamiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kwa
READ MOREKATIKA Mkoa wa Morogoro watoto wapatao laki moja kati ya watoto laki nne walio na umri chini ya miaka mitano wanakabiliwa na udumavu, idadi inayotajwa kupungua kutokana na mpango mkakati wa serikali wa kutokomeza tatizo la udumavu hapa Nchini. Wakati jitihada za serikali kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya lishe zikiendelea kwa kutoa elimu
READ MORE