• Mwaka 1 madarakani Rais Dkt Mwinyi amegawa Pesa kwa makundi yote Zanzibar.

    Mwaka 1 madarakani Rais Dkt Mwinyi amegawa Pesa kwa makundi yote Zanzibar.0

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. HusseinAli Mwinyi amesema ili Taifa liweze kufanikisha matarajio ya kukuzaUchumi katika mwaka wa Pili wa Uongozi wa Serikali ya Awamu yanane, halina budi kuendelea kudumisha amani, uwajibikaji pamoja nawatendaji kujenga uadilifu katika utekelezaji wa majukumu yao.Dk. Mwinyi ametoa indhari hiyo katika Hotuba aliyotoa kwa wananchi

    READ MORE
  • WANAFUNZI 500 WASHINDWA KUFANYA MTIHANI WA DARASA LA NNE KWA UTORO

    WANAFUNZI 500 WASHINDWA KUFANYA MTIHANI WA DARASA LA NNE KWA UTORO0

     NA MWANDISHI WETU, MOROGORO MKUU wa wilaya ya Gairo Jabir Makame amesema zaidi ya wanafunzi 500 wa daraza la nne wilayani humo hawajafanya mtiani wa taifa kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro hali inayosababisha wilaya hiyo kuwa nyuma katika viwango vya ufauru DC Makame alibainisha hayo katika kikao cha baraz ala madiwani halmashauri ya gairo ambapo

    READ MORE
  • WANAFUNZI 10 BORA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021

    WANAFUNZI 10 BORA MATOKEO YA DARASA LA SABA 20210

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limemtaja mwanafunzi aliyehitimu shule ya msingi St Anne Marie iliyopo mkoani Dar es Salaam, Eluleki Evaristo Haule kuwa ndiye aliyeibuka kinara katika matokeo ya mtihani ya Darasa la Saba 2021. Akitangaza matokeo hayo Jumamosi Oktoba 30, 2021 Katibu Mtendaji wa Necta,  Dk Charles Msonde amesema watahiniwa bora kitaifa ni wale

    READ MORE
  • SHULE 10 BORA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021

    SHULE 10 BORA MATOKEO YA DARASA LA SABA 20210

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limeitaja shule ya msingi Graiyaki iliyopo mkoani Mara kuwa ndiyo shule iliyoibuka kinara kitaifa katika matokeo ya mtihani ya darasa la saba 2021. Akitangaza matokeo hayo Jumamosi Oktoba 30, 2021 Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde aliitaja shule ya St Peter Claver iliyopo mkoani Kagera kushika nafasi ya pili.

    READ MORE
  • HAYA HAPA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021

    HAYA HAPA MATOKEO YA DARASA LA SABA 20210

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) Jumamosi 30, Oktoba 2021 limetangaza matokeo ya darasa la saba huku mtahiniwa Eluleki Evaristo Haule amepata alama nyingi zaidi kuliko wenzake. Bonyeza link hapo chini kupata matokeo ya Darasa la Saba Mwaka 2021👇👇https://matokeo.necta.go.tz/psle/psle.htm

    READ MORE
  • WAZIRI DKT. GWAJIMA AZIPA SALAMU ‘DAY CARE’ ZISIZOSAJILIWA

    WAZIRI DKT. GWAJIMA AZIPA SALAMU ‘DAY CARE’ ZISIZOSAJILIWA0

    Na Mwandishi Wetu Dodoma Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewatumia salamu wamiliki wa vituo vya kulelea watoto mchana ambao hawajasajili vituo hivyo na wanaendelea kutoa huduma hiyo. Waziri Dkt. Gwajima ametoa kauli hiyo jijini hapa wakati wa Tamasha la Karibu Dodoma linalofanyika katika viwanja vya Chinangali

    READ MORE
Translate »