WAKULIMA MKOANI DODOMA WASHAURIWA KULIMA MAZAO YANAYOHIMILI UKAME
- Kilimo
- June 2, 2021
Serikali imebainisha kuwa kuchelewa kukamilika kwa ujenzi wa Vihenge vya Kisasa na Maghala kumetokana na tatizo la mgogoro wa mwingiliano wa viwanja kati ya Shirika la umeme (TANESCO) na Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA). Mgogoro huo ulipelekea mkandarasi kusimama na baadaye kuongezewa muda wa mkataba wa kutekeleza mradi mpaka tarehe 13 Septemba
READ MOREWaziri wa Kilimo Mhe. Prof. Adolf Mkenda akisisitiza jambo wakati akizungumza kwenye mkutano wa wafanyabiashara wa mbolea uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam, leo tarehe 9 Agosti 2021. (Picha Na mathias Canal, Wizara ya Kilimo) Waziri wa Kilimo Mhe. Prof. Adolf Mkenda akijadili jambo na Naibu Waziri wa Kilimo
READ MORENa Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Serikali imesema ifikapo Mwaka 2022 itasitisha utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nje ya nchi kwa makampuni ambayo ndio wazalishaji wa ndani wa bidhaa hiyo. Upungufu wa bidhaa hiyo nchini hautokani na uhaba wa miwa bali unasababishwa na makampuni kushindwa kuongeza uchakataji wa miwa kutoka kwa wakulima. Waziri wa
READ MORENa Mwandishi Wetu Iringa Serikali imebainisha kuwa suluhisho pekee la sekta ya Kilimo cha Umwagiliaji ni kuongeza uwezo wa kiuhandisi katika Tume ya Taifa ya Umwagiliaji. Waziri wa Kilimo Mhe. Prof Adolf Mkenda ameyasema hayo leo tarehe 2 Agosti 2021 mara baada ya kutembelea na kukagua Skimu za Umwagiliaji za Magozi na Mkombozi zilizopo katika
READ MORENa Mwandishi Wetu-Iringa Serikali imekamilisha mazungumzo na kampuni ya ubia ya Saudi Sudani kwa ajili ya kuuza unga pamoja na mtama mweupe. Hiyo ni fursa kubwa kwa wafanyabiashara nchini kwani wanatakiwa kuchangamkia fursa hiyo ambayo itakuwa sehemu ya muarobaini wa soko la nafaka kwa wakulima nchini. Waziri wa Kilimo Mhe Prof Adolf Mkenda ameyasema hayo
READ MORENa Mwandishi Wetu-Dodoma Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na wizara ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, Sekretarieti za Mikoa na Halmashauri za Serikali za Mitaa zinaendelea na usajili wa wakulima kwenye mfumo wa M-Kilimo ili waweze kutambuliwa, kutoa huduma kwa njia ya simu na pia Serikali kutoa huduma zingine kwa urahisi. Mpaka sasa hivi zaidi ya
READ MORE