WAKULIMA MKOANI DODOMA WASHAURIWA KULIMA MAZAO YANAYOHIMILI UKAME
- Kilimo
- June 2, 2021
Na Mwandishi wetu-Njombe Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na wadau inaendesha makongamano kuhusu mifumo ya chakula kwa lengo la kukusanya maoni yatakayosaidia nchi kuboresha mifumo ya chakula na kuimarisha lishe ikiwa ni utekelezaji wa malengo 17 ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs). Akifungua kongamano la mifumo ya chakula kwa wakulima, wafugaji, wavuvi na
READ MORENa Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Moshi Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda ameitaka Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Kahawa ambayo ipo chini ya wizara ya kilimo kujiimarisha kiutendaji kwa ajili ya kufanya utafiti ili kuongeza tija ya uzalishaji wa kahawa. Waziri Mkenda ametoa maelekezo hayo tarehe 29 Juni 2021 wakati akizindua Bodi ya
READ MOREMawaziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekutana tarehe 25 Juni 2021 katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa mjini Arusha (AICC ) kwa ajili ya kuweka mikakati ya pamoja ya kuendeleza sekta ya kilimo, mifugo na Uvuvi ikiwa ni pamoja na mambo mengine ya kupambana na nzige. Kadhalika Mawaziri hao
READ MOREShabaha ya serikali ni kuhakikisha utafiti wa mbegu bora unaimarishwa, kuongeza uzalishaji wa mbegu lakini pia kuboresha utoaji wa huduma za ugani. Katika mpango huo, maeneo mengine yatakayoangaliwa ni pamoja na kilimo cha umwagiliaji hususani katika uzalishaji wa mbegu ili kuweza kujitosheleza kwa mbegu mwaka mzima; kuimarisha upatikanaji wa suluhu katika masoko ya mazao ya
READ MORENa Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda amempa siku 7 Mrajisi wa vyama vya ushirika nchini, Dkt.Benson Ndiege kuhakikisha anaurejesha umoja wa vyama vya msingi 32 vya wakulima wa Kahawa (G32 KNCI JVE) vinavyofanya biashara ya kahawa nchini. Waziri Mkenda ametoa agizo hilo kufuatia hatua ya Mrajisi wa vyama hivyo
READ MORE