• Prof Mkenda ataka mikakati ubanguaji korosho kufikia 60% ifikapo 2025

    Prof Mkenda ataka mikakati ubanguaji korosho kufikia 60% ifikapo 20250

    Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Mtwara WAZIRI wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amewataka wabanguaji zao la korosho kuja na mikakati  itakayowezesha zoezi hilo kufikia asilimia 60 au 100 ifikapo mwaka 2025. Waziri Mkenda ameyasema hayo mjini Mtwara wakati akizungumza na wadau wa ubanguaji Korosho kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) mkoani

    READ MORE
  • BANDARI YA MTWARA ITATUMIKA KUSAFIRISHA KOROSHO-WAZIRI MKENDA

    BANDARI YA MTWARA ITATUMIKA KUSAFIRISHA KOROSHO-WAZIRI MKENDA0

    Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma WAZIRI wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amesema Bandari ya Mtwara imejiandaa vizuri kwa ajili ya kusafirisha zao la korosho na uamuzi huo hautabadilika kwa kuwa ni maekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan. Aidha, amepiga marufuku matumizi ya kangomba kwenye mauzo ya zao hilo huku akieleza kufanya hivyo kutachelewesha kuuzwa

    READ MORE
  • SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KANGOMBA UNUNUZI WA KOROSHO-WAZIRI MKENDA

    SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KANGOMBA UNUNUZI WA KOROSHO-WAZIRI MKENDA0

    Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Mtwara Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda ametoa onyo kali kwa wanunuzi wa korosho kwa njia isiyo halali maarufu kama ‘Kangomba’ hali inaweza kusababisha wakulima kushindwa kuendelea kulima zao hilo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya maafisa ushirika yanayojumuisha mikoa mitano yanayofanyika mkoani mtwara amesema kuwa lazima wakemee ili

    READ MORE
Translate »