• KATIBU MKUU UVCCM AWAAGIZA WENYEVITI NA MAKATIBU KURATIBU UFANYAJI MAZOEZI

    KATIBU MKUU UVCCM AWAAGIZA WENYEVITI NA MAKATIBU KURATIBU UFANYAJI MAZOEZI0

    Na Barnabas Kisengi, Dodoma KATIBU Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa  (UVCCM), Kenan Kihongosi amewaagiza Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa na Wilaya kusimamia uanzishwaji wa Klubu za Jogging katika maeneo yao lengo likiwa ni kufanya mazoezi ili kujikinga na magonjwa yasio ya kuambukiza. Akizungumza leo Julai 31, wakati wa uzinduzi wa Klabu ya

    READ MORE
  • UVCCM YALAANI KAULI YA ASKOFU GWAJIMA JUU YA CHANJO YA CORONA

    UVCCM YALAANI KAULI YA ASKOFU GWAJIMA JUU YA CHANJO YA CORONA0

    Na Barnabas Kisengi JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa  Chama cha Mapinduzi(UVCCM)Taifa umelaani vikali kauli za Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima za kupinga chanjo ya Corona huku ikiomba uongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM,kumchukulia hatua kali na  za kinidhamu. Kauli hiyo imetolewa hii leo Jijini Dodoma na Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo,Kenan Kihongosi

    READ MORE
  • CCM YAIAGIZA SERIKALI KUFANYIA UPYA MAIPITIO YA SERA NA SHERIA ZA KODI

    CCM YAIAGIZA SERIKALI KUFANYIA UPYA MAIPITIO YA SERA NA SHERIA ZA KODI0

    Na Barnabas Kisengi -Dodoma  CHAMA cha Mapinduzi kimeziagiza Serikali mbili ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Zanzibar kupitia ilani ya uchaguzi Ibara namba  18 na 20wakati maelekezo ya Rais yakifanyiwa kazi nazo zifanye upya mapitio ya  sera na Sheria za kodi  ili kuliweka  vyema suala hilo la tozo katika utekelezaji wake. Kauli hiyo imetolewa

    READ MORE
Translate »