• MAKADA WA CCM 48 WAJITOKEZA KUWANIA UBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI

    MAKADA WA CCM 48 WAJITOKEZA KUWANIA UBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI0

    Na Barnabas Kisengi-Dodoma Zoezi la Uchukuaji wa fomu za kuwania Ubunge wa Afika Mashariki linaendelea tangu lianze Agost 1, 2022 katika ofisi tatu za chama cha Mapinduzi Ofisi ya Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi Mkoani Dodoma, Ofisi ndogo Lumumba Dar es Salaam na Afisi kuu Zanzibar. Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za

    READ MORE
  • CHONGOLO AWATAKA WATENDAJI WA CCM KUKIJENGA UCHUMI WA CHAMA

    CHONGOLO AWATAKA WATENDAJI WA CCM KUKIJENGA UCHUMI WA CHAMA0

    Na Barnabas Kisengi Dodoma CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) kimetoa wito kwa ngazi zote za Watendaji kuanzia Tawi, Kata, Wilaya na Mikoa yote Nchini kuwekeza nguvu kwenye uwekezaji na utendaji wa uchumi wa chama. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dodoma na Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo katika Kongamano la Mafunzo ya Uongozi na uwajibikaji katika mada

    READ MORE
  • MWANDISHI WA HABARI AJITOSA KINYANG’ANYIKO CCM

    MWANDISHI WA HABARI AJITOSA KINYANG’ANYIKO CCM0

    Na Barnabas Kisengi-Dodoma Mwandishi wa Habari wa kituo cha Upendo Tv Mkoani Dodoma Bi Doreen Aloyce  amejitokeza katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dodoma kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Ujumbe wa NEC Taifa. Bi Doreen Aloyce  amesema ameamua kuchukua fomu hiyo ya kuwania nafasi ya mjumbe wa NEC Taifa baada ya

    READ MORE
Translate »